The Sory Book : GodoGodo Jambazi Aliyestarehe Kuua Polisi (Part 1)
HTML-код
- Опубликовано: 12 апр 2025
- www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Prof Jamal unajua bhana, utadhani ulihusishwa huko 🤣🤣😂😂🙌🙌🙌👏👏
Maisha yana mambo mengi sana mazito anyway ni the story book nzuri sana
👏👏👏👍 Hii story nilikuwa naipita Sana. huwezi kuamini nilikuwa naperuzi jingine ghala Kwa bahati mbaya kidole changu kikajigusa. Basi Nikaona any way wacha niangalie na niisikilize hiyo hiyo.. 👍
Yes
Mwamba amerudiii tena
Jamal april❤❤
🔥🔥🔥🔥 Kutoka Familia ya SIMBA 🤝🤝😊😊
Shida za maisha zinaweza kukufanya ukawa mtu mbaya sana kwenye hii dunia🔥🔥🔥 hasa ukiwa huna moyo wa uvumilivu
Kweli kabisa
Mpaka amekuwa jambaz maana yake alivumilia sana mpaka kuingia huko ila ni hatari sana mfumo wa maisha hasa watoto yatima.
Ni kweli ndugu yaani hapa nimejifunza kitu kwamba kuna watu hujiingiza kwenye uhalifu bila kupenda kutokana na mazingira magumu waliyopitia huwa wanajitoa muhanga kwa lolote lile husema potelea mbali kwani hawaoni thamani ya maisha yao
Hakika
Mimi binafsi nimechukua mambo makuu matatu...Dispiline katika kazi yeyote ni muhimu sanaa...watu wenye jicho la dhahabu ndio wakua nao katika mapambano ya maisha ..( vijana wake walikua fiti)...na jambo jengine ni kusimamia kwa uwakika kwa jambo lako au ndoto yako ..
brother unatuelimisha sana be blessed tunakukubali
Nawakubali ✊✊✊✊ Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi 👂👂👂 Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
Napenda sana the story book yako Jamal mwenyezi MUNGU akubariki sana ni Denis kutoka KENYA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakubali mwamba unatupa BURUDANI
Eeeeh mungu nakuomba waajalie wanangu moyo wahuruma wawe wenye hofu juu yako nahasaa kukumbuka uwepo wako kilawapatapo matatizo 😢🙏
Amina
Jamaa alkuwa ana Akili nying sanaa
Mkenya lakini napeda sana (the story book)🇰🇪🇰🇪👏👏🤞
Huyu jamaa kama sio yeye anapeana story inakuaga kelele..I love his way of story giving in a huge way...na our very own Abel Mutua AKA Mkurugenziiiii🇰🇪🇰🇪🇰🇪
True broo
Yuko vizuri huyu jamaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakuna kama mama. Mungu wabaliki wamama wote wanaojali familia zao.
From Congo DRC,muzaliwa wa dar es salaam, like zenyu jamani
Unyama mwingiii 👍 sna #jamal
Hallo wasafi media, mine is not a comment but a concern towards my friend and best professor Jamal April, where is he? Am missing his story books. Mwambieni tunateseka mbila kitu ya kutazama. Am his fun and I really love that man. He narrates educational and inspirations. He is my mentor in history.
Stanley from Nairobi, Kenya
yaani apa ndo nmekua more keen na kuconcetrate than class😂😂 ,,much love Jamal💚
Godogodo mtu mbad,tunasubiri mwendelezo bro
Nakubali kaka inabidi kila wiki achia stor😂😂😂
Professor Jamal April uko Sawa,May Almighty God bless you Bro
Kazi nzuri sana kwenye tv kipindi kinarushwa saa ngapi
I cant dare miss your stories mr Jamal ...#mr eloquent
Napenda zana story book, keep it up brothers jamal. inaelimiza kinamna.
Big up jamal from 254...tufanyie zingine za jamaa sampuli hii
I do salute you Jamal. You really understand and know how to give story. Kudos
Noma sana tuletee tena na ya mwangii wa kenya
I don't regret any minute spend here,...
Everything about the storybook with Jamal, is worth listening to, Mapenzi ya dhati kutoka Kenya, kazi nzuri sana kaka
Vizuli sana
Daaah kimenipita wasaf sema nn..nina tecno pop😅 ndo nakulike mwamba.. kazi nzuri 🎉
Lete vi2 brother nakukubali xanaa
The story book ibaki milele💥💥
The story book 📖📚 kila ijumaa 💥✌️
Leo ndo birthday ya godogodo
Respect kwake
Ee mwenyezi Mungu tupe maisha marefu tuleee watoto jamani,,,Mungu watoto umetupatia tusaidie pia kuwatunza baba Mungu,,,
Amiin inshaalaah
Mungu Akubariki kwa story mzuri Jamal April 🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷
Aminia Prof Jamal unajua kutoa hadithi kwa ufanisi.,big up kk ✌️✌️
Kazi nzur sana kaka Jamal MUNGU aendelee kukutunza
Ahsante Jamal nadhani huu ndio mwanzo mzuri wa kuwa jambazi professional
Sema ile movie ya shina rambo🙌🙌
Napenda story za huyu kiumbe jamani yani unasikiliza mpaka unalala,sending love ❤️ from Germany 🇩🇪
😂
I thought it's me alone😂
Nikieka nazima in 2 minutes
Mmh jmn
Njoo bongo
Good job bro najifunza mengi kupitia video zko nazipenda sana Allah akubless
kaka Jamali Mungu kamjalia sauti nzuli nakamjalia ufundi wa kuhadisia
The king in story tellers jamal❤❤🎉
It's a beautiful and interesting story
From Mozambique 🇲🇿
Hallo professor,, tusimulie kuhusu panam crush in 1977,,the two planes that crushed in airport
Story inatosha kabisa kutengeneza movie🔥
Duuh amakweri wasafi mnatujuza vingi sn
Safisana brother kwa kazi kubwa
You are most historian man
one of the best story ever, Uyu jambaz apikuwa mnoma, naisubir kwa hamu sana iyo sehem ya pili
Mwendelezo tuma saiz sheikh wangu😊
ukishatoa hii ya godogodo sehemu ya pili gusia pia akina the 'high incident bandits'
😎 akili nyingi
I like this ....ongea juu ya Russia.. especially brics
Nakubali mwamba
Nakubali sana kaka Jamal April ,, Professor ✌️✌️✌️🥂
Jamal Tuletee Story ya Je DUNIA ni FLAT Au Duara na Je Kuna Kitu kinacho itwa Firmament au Hakuna ?
Plzz ndugu pitia Comment Hii👍🏿👍🏿
... From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with Love.... We love you Jamal we love your fact findings we are hoping that one day you will open your own RUclips Channel for easier access and we will support you
its so smash story
Finally someone said it
Yeah Jamal open your own you tube channel bana
Lakini unaelewa kiswahili au unaitaji mkalimani, 😅
Kaka yupo vizur sana❤❤❤
Wow, Simulizi ya Kutisha, ingependeza watengeneza filamu wachukue wazo hili watengeneze filamu.
Umetisha msimulizi upigemwingi
Kama wewe unaangalia The story book na kusoma coment like hapa
Sijawahi kutoka Bure nikisikiliza the Story Book
Pp
P
P
Unyama mwingi
🫡🫡🫡🫡🫡
Hii ni kama kula mrungi bila PK
Wizi unaanzia nyumba na vitu vidogo ,Akitoka inche ni jambazi suku tuepukane na hayo maisha tengemea kile kidogo unapata kwa jasho .Ni ken com from barsalona Spain.
Nani kakudanganya.
Wasafi "the story book" African story it's so proudly for our narrative.Shwaaaaa shwaa
Makin sanaaa
The king has done it again 🔥🔥🔥🔥❤️
Kweny story book hapo kama umemuona jamaa kafanana na mandoga hebu gonga like❤
Balqq aisee 🔥
wazazi angalieni sana msizae magodogodo
Godogodo mwamba kabsaa
Mimi nnankubal sana kwa stor zake 🇲🇿🇲🇿
Napenda Sana the story book
Nakubali godo godo💪💪
mm napenda sana the story book na jamali April ❤❤❤
Nakubali jamal🎉🎉
Wasafi media mko vzur ❤❤❤
Hapa Tanzania Kuna professor mmoja tu ambaye ni Jamal April.
Dah nice story snaaaa....🎉
Story nzuri sana
.
Asante Sana Jamal your wonderful
Nakubali sana the story
Siku moja bro uje kusimulie history ya papillon
Godogodo nimwamba sana huyo 😢😢
Naomba kuuliza
Huyo jambaz mpka leo yupo hai au amefia gerezani
Story book is the best🥳🤗👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Naomba like zenu from Zanzibar Tz👊
nice prof...keep it up....your just on af a kind....that's good🎉
Oooohhh bless sana my braza 🙏👏
Sema godo godo alikuwa mbele ya mudaaa
Kweli we ni prof ulivyo simama kutupa storybook nikaacha kukufwatilia mkuu..Duh hii ni kubwa mno..Umenirudisha mwamba
Uko vizuri sanaa❤❤
Leo nimewahi wa kwanza nipeni mauwa yang
Kazi nzuri bro
Kaka jamali unatishaaaa❤
😂 mwanangu Dunga maweee ni mwanangu wa utotooo katika jambo nakumbuka alipitia changamotoo😅
Umeweza Mtaalamu 😂😂😂😂😂
@@rogerslwitiko3915 😂 nashukuru kk
@@ramadhanboi6485 Pamoja sana Mtaalamu
Hizi ndio mambo nazipenda
😅😅 jambaz GODOGODO
Pia Mimi bro
Awe anazileta hizi hizi
@@christonchristian7448 🤣🤣🤣🙌
😂😂😂unataka uchukuwe ujuzi ama
Napenda sana story zako kaka Jamal zinaelimisha sana. Zahra kutoka Tanzania dar es salaam
♥️♥️♥️♥️
Kaka tupe ile strory ya uyle jama wa sauz African please 🙏🏿
Hata hivo godo godo walimugodoa jicho daah😁😁
I HAVE NEVER MISS THE STORY BOOK